KUKOPI na kupesti bila kuboresha! Mastaa wenye mapenzi kama ya njiwa kutoka kiwanda c...
KUKOPI
na kupesti bila kuboresha! Mastaa wenye mapenzi kama ya njiwa kutoka
kiwanda cha filamu za Kibongo, Chuchu Hans na Vincent Kigosi ‘Ray The
Greatest’ wamekuwa wakitupia swaga za picha kama zile za Kim Kardashian
na mwandani wake, Kanye West.
Wasanii wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans na Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ wakijiachia.
Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii, Chuchu na Ray ambao majina yao yameunganishwa na kuwa Chura wamekuwa wakichukua sampo za picha za akina Kim nao kujifotoa kisha kuzisambaza.
“He!
Mmewaona Chuchu na Ray? Eti wanakopi na kupesti swaga kama zile za Kim
na Kanye kisa mapenzi yamekolea,” alisema mdau mmoja baada ya kuziona
picha hizo mtandaoni.
- GPL