Archive Pages Design$type=blogging

Najuta Kuoa, ndivyo asemavyo huyu kijana

Mwezi uliopita nilipata nafasi ya kukutana baba yangu ambaye mara ya mwisho tulikuwa tumeonana mwaka 2012. Tukiwa mimi, yeye na dada ya...

Mwezi uliopita nilipata nafasi ya kukutana baba yangu ambaye mara ya mwisho tulikuwa tumeonana mwaka 2012.

Tukiwa mimi, yeye na dada yangu mkubwa tukipata lunch baba yangu alitoa kauli moja ambayo nami imenibadili mtazamo wangu. Alisema eti laiti angejua asingeoa, angeishi kama bachelor maisha yake yote.

Nahisi kauli yake ilitokana na kupishana mara kwa mara baina yake na mzazi mwenzake ambaye ni mama yangu. Wazazi

wangu wameenda age kidogo baba yangu yuko kwenye early seventy's wakati mamangu ni mid sixty's. Wamekuwa katika ndoa for more than fourty years lakini uwa hawaishi kutofautiana mpaka sisi tumeshazoea hiyo hali. Hiyo kauli yake imenifanya na mimi niwaze kuwa bachelor maisha yangu yote. Nitasaka mtoto but no kuishi na mwanamke wala ndoa.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Najuta Kuoa, ndivyo asemavyo huyu kijana
Najuta Kuoa, ndivyo asemavyo huyu kijana
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4M4XBQbVY5F2z5VJKhg7RpbsJVPNy4jV6C_XVXcpsoJ_PftgdgOnaddfI9_Wf0Z_XESvG889TI3DnCLmJub9yO77Tu3MkEBYnXruOCfHA7nigHNne6mTdRQWjh7lswFp3F83zyGq8LT1x/s1600/sad-black-man+(1).jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4M4XBQbVY5F2z5VJKhg7RpbsJVPNy4jV6C_XVXcpsoJ_PftgdgOnaddfI9_Wf0Z_XESvG889TI3DnCLmJub9yO77Tu3MkEBYnXruOCfHA7nigHNne6mTdRQWjh7lswFp3F83zyGq8LT1x/s72-c/sad-black-man+(1).jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/najuta-kuoa-ndivyo-asemavyo-huyu-kijana.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/najuta-kuoa-ndivyo-asemavyo-huyu-kijana.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago