Archive Pages Design$type=blogging

Mpyaaa Kabisa:- New Taarab Audio:- Asia Mzinga - Ubaya Haulipizwi(Mashauzi Classic)

HAKIKA maji yanafuata mkondo. Huyu ni Asia Mzinga (pichani juu) binti wa mwimbaji mkongwe wa taarab Bi Mwanamtama Amir. Hapa ameshu...


HAKIKA maji yanafuata mkondo. Huyu ni Asia Mzinga (pichani juu) binti wa mwimbaji mkongwe wa taarab Bi Mwanamtama Amir. Hapa ameshuka na bonge la wimbo.
Baba mzazi wa Asia Mzinga anayekwenda kwa jina Hamis Mzinga nae pia ni mwimbaji na mtunzi maarufu wa muziki wa taarab akiwa amepata kutamba na kundi la Egyptian. Moja ya wimbo uliotamba sana wa Hamis Mzinga ambaye kwa sasa anaishi Uingereza ni “Mazao Bora shambani”.
Kwa Asia Mzinga hii inakuwa ni mara yake ya kwanza katika historia yake ya kimuziki  kurekodi wimbo wa taarab. Mwenyewe amesema kuwa shukran za dhati zimwendee Isha Mashauzi kwa kumfungulia ukurasa mpya kwenye maisha yake.
Wimbo huu umepewa jina la “Ubaya Haulipizwi” utunzi wake Isha Mashauzi. Wengi waliokuwa wakiusikia ukumbini wimbo huu waliuzoea kwa jina la Wema Hauozi lakini jina halisi la wimbo ni Ubaya Haulipizwi.
Umerekodiwa katika studio za Soft Records chini ya producer Pitshou Mechat Shemesha ambaye pia ndiye aliyekung’uta mpini wa solo gitaa.
Kinanda kimepigwa na Kali Kitimoto wakati bass limepigwa na Jumanne Mussa (J Four - Jonh Cena).
Ni wimbo mtamu wa dakika 8 wenye ujumbe mzuri ndani yake ambao unatosha kuwa jibu tosha kwa wale wote wanaoipiga madongo Mashauzi Classic. Ni majibu ya kistaarab yanayoashiria kuwa watu wanataka kufanya kazi na hawana muda wa malumbano.





COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Mpyaaa Kabisa:- New Taarab Audio:- Asia Mzinga - Ubaya Haulipizwi(Mashauzi Classic)
Mpyaaa Kabisa:- New Taarab Audio:- Asia Mzinga - Ubaya Haulipizwi(Mashauzi Classic)
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjm8hzODCsPhBmxRZ766e6ATV0X69EWLtJqt1X_jG40-wMZA_hDOlaQNSmCUvocDZhFIPRLIbcoBh14cbm3EvvA0KzGX1_9Rs2eCz0aKOubxqHRB4MR7EPVI-Dxo5swyKaxE9pyzb-PRbIg/s1600/P1110974.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjm8hzODCsPhBmxRZ766e6ATV0X69EWLtJqt1X_jG40-wMZA_hDOlaQNSmCUvocDZhFIPRLIbcoBh14cbm3EvvA0KzGX1_9Rs2eCz0aKOubxqHRB4MR7EPVI-Dxo5swyKaxE9pyzb-PRbIg/s72-c/P1110974.JPG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/mpyaaa-kabisa-new-taarab-audio-asia.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/mpyaaa-kabisa-new-taarab-audio-asia.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago