Archive Pages Design$type=blogging

AISHA BUI AJIFUNGUA

Staa wa filamu za Kibongo, Aisha Bui. STAA wa filamu za Kibongo, Aisha Bui amepata mtoto wa kike aliyejifungua kwa njia ya upasuaji l...

Staa wa filamu za Kibongo, Aisha Bui.
STAA wa filamu za Kibongo, Aisha Bui amepata mtoto wa kike aliyejifungua kwa njia ya upasuaji lakini kumekuwa na usiri mkubwa katika jambo hilo.

Akizungumza hivi karibuni, Aisha alisema anamshukuru Mungu kwa kumjaalia mtoto wa kike aliyempa jina la Saloma.
“Nimefurahi sana, kumpata mtoto ni jambo la kumshukuru Mungu na sasa najisikia raha sana kuitwa mama,” alisema Aisha na kuongeza kuwa, mwanaume aliyezaa naye ni mchumba wake wa siku nyingi ambaye anaishi nje ya nchi na wanatarajia kufunga ndoa siku si nyingi.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: AISHA BUI AJIFUNGUA
AISHA BUI AJIFUNGUA
http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXzOwCNadWlN1YdKIkeaouZHHPPNTD-0Csi-21IBfYT*qVlgrMXa55Hizm0t*hKHvbbAs-byNzh0PHRf8oTyRHss/BUI.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/aisha-bui-ajifungua.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/aisha-bui-ajifungua.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago